Mwanakondoo Ameshinda, "Bwana Yesu asifiwe"

Sikukuu ya Uinjiristi itafanyika tarehe 26/07/2020 katika ushirika wa kinondoni. Ibada itaanza saa 2:00 Asubuhi hadi saa 6:00 Mchana.

Karibu tumwabudu na kumsifu Mungu wetu.

Habari Mpya

DK MWAKYEMBE ATUA KINONDONI MORAVIAN, ATOA SALAMU ZA MWAKA MPYA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe jumapili hii ameshiriki ibada pamoja na waumini wa kanisa la moravian Ushirika wa Kinondoni ikiwa ni pamoja na kutoa salamu zake za Mwaka Mpya.

TUNAENDELEA KUMUONA MUNGU NA KUJIFUNZA USHIRIKA WA KINONDONI

Mchungaji wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni Gentleman Mwansile akihudumu katika madhabahu ya ushirika huo, hakika tunabarikiwa sana na huduma yake