+255 22-2761561 / +255 743-008462
Msisiri-Mtaa wa Gulwe
IBADA YA KUMUAGA MCHUNGAJI GENTLEMAN MWANSILE.
Gentleman Richard Mwansile ni Mchungaji aliyehudumu Kinondoni kwa kipindi cha miaka mitatu tangu Disemba 2017 mpaka Novemba 2020, ni Mchungaji wa 11 Kati ya wachungaji waliowahi kuhudumu katika ushirika wa Kinondoni.
Mchungaji wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni Gentleman Mwansile akihudumu katika madhabahu ya ushirika huo, hakika tunabarikiwa sana na huduma yake
Page 1 of 2