Idara ya Uwakili

Image

Idara ya Uwakili ni moja katiya idara nane zinazounda ushirika wa Kinondoni. Uwakili ni mtu kuchukua jukumu la kuangalia mali ya mtu mwingine,kimsingi uwakili unaelezea au kuwakilisha utii kuhusu kutawala na kutiisha kila tunachokabidhiwa na Mungu. Dada Tonangile Mkisi ndiye kiongozi wa Idara ya Uwakili katika ushirika wa Kinondoni.

Kutimiza Wajibu
Ingawa Mungu ametukabidhi uumbaji wake tufurahie lakini vyote si vyetu bali ni vyake wajibu ni kuvitunza lakini mara nyingi tumelalamika kuhusu haki zetu, mali zetu, tumesahau kuwa sisi ni mawakili na jukumu letu kuu ni kutekeleza wajibu wetu tuliopewa kuvitunza, kutiisha, kuhakikisha vinaongezeka na kuvitumia kwa ajili ya mapenzi na utukufu wa Mungu pekee na siku mojakila mmoja wetu atawajibika kutoa hesabu jinsi ambavyo Bwana alimkabidhi.

Kazi Za Idara Ya Uwakili

  1. Kufanya mafunzo ya uwakili kuhusu utoaji wa sadaka(zaka, dhabihu ya shukrani,nadhiri, mavuno, malimbuko).
  2. Kusimamia na kutunza pia kuweka kumbukumbu ya mali za ushirika.
  3. Kufundisha umuhimu wa kazi za sanduku la umoja kwa kanisa letu na taasisi za kikrsto tunazoshirikiana nazo kama vile Unit Board, Kanisa la Moravian Tanzania (KMT) na Christian Council of Tanzania (CCT).
  4. Kuratibu utekelezaji wa mpango mkakati wa jimbo katika ushirika husika na kutoa taarifa kupitia katibu wa wilaya au jimboni moja kwa moja kupitia ofisi za shirika, pia kushauri jinsi ya kuboresha utekelezaji huo.
  5. Kusimamia mapato migao(SLU na SLW) kwa wakati sahihi na kuratibu matumizi katika shirika na kuboresha hali ya maisha ya watumishi.
  6. Kushirikiana na idara zote katika sikukuu za idara na kanisa kwa ujumla.
  7. Ubunifu katika kufundisha kuhusu suala la utoaji wa sadaka kila mtaa kushirikiana na madikoni, mawakili, kupitia bahasha

Idara ya uwakili katika mwaka 2018 iliratibu katika zaka, jenga na mavuno ambapo matokeo ya utoaji ya mitaa yote 13 ni kama inavyoonyeshwa katika jedwali hapo chini

Taarifa ya mapato ya zaka kuanzia Januari hadi Disemba 2018

 

Mtaa

Kiasi (TZS)

Nafasi

01

Mwananyamala A

1,719,000

5

02

Mwananyamala B

573,500

12

03

Kinondoni A

387,100

13

04

Kinondoni B

942,000

9

05

Hananasifu

2,212,500

3

06

Mikocheni

3,149,500

1

07

Osyterbay

1,923,350

4

08

Mwananyamala Kisiwani

1,116,350

8

09

Msufini

1,420,750

7

10

Kijitonyama

835,000

10

11

Kinondoni Shamba

636,800

11

12

Mchungaji

1,431,800

5

13

Imani

2,490,000

2

 

Jumla

18,837,650

 


Mitaa mitatu iliyofanya vizuri katika utoaji wa zaka mwaka 2018 ni kama ifuatavyo

Namba

Mtaa

Kiasi

1

Mikocheni

3,149,500.00

2

Imani

2,490,000.00

3

Hananasifu

2,212,500.00


Taarifa ya mapato ya jenga kuanzia Januari hadi Disemba 2018

 

Mtaa

Kiasi (TZS)

Nafasi

 

01

Mwananyamala A

382,350

10

02

Mwananyamala B

640,400

7

03

Kinondoni A

261,600

13

04

Kinondoni B

623,850

8

05

Hananasifu

937,100

5

06

Mikocheni

1,044,000

4

07

Osyterbay

719,900

6

09

Mwananyamala Kisiwani

1,243,000

3

10

Msufini

449,400

9

11

Kinondoni Shamba

277,300

12

12

Mchungaji

1,978,000

2

13

Imani

2,385,600

1

 

 

11,263,100

 


Mitaa mitatu iliyofanya vizuri katika utoaji jenga mwaka 2018 ni kama ifuatavyo

Namba

Mtaa

Kiasi

1

Imani

2,273,600.00

2

Mchungaji

1,978,000.00

3

Mwananyamala Kisiwani

1,243,000.00


Taarifa ya mapato ya mavuno kuanzia Januari hadi Disemba 2018

 

Mtaa

Kiasi(TZS)

Nafasi

01

Mwananyamala A

152,000

13

02

Mwananyamala B

343,500

9

03

Kinondoni A

256,500

11

04

Kinondoni B

411,500

7

05

Hananasifu

377,000

8

06

Mikocheni

1,501,500

2

07

Osyterbay

602,100

4

08

Mwananyamala Kisiwani

541,000

6

09

Msufini

549,000

5

10

Kijitonyama

165,000

12

11

Kinondoni Shamba

312,500

10

12

Mchungaji

940,800

3

13

Imani

1,985,000

1


Mitaa mitatu iliyofanya vizuri katika utoaji wa mavuno mwaka 2018 ni kama ifuatavyo

Namba

Mtaa

Kiasi

1

Imani

1,985,000.00

2

Mikocheni

1,501,500.00

3

Mchungaji

940,800.00


Zoezi hili ni endelevu na itaratibiwa tena katika mwaka 2019 na taarifa itatolewa katika sikukuu ya uwakili mwezi Januari ya mwaka 2020